This is platform aims to have awareness of traffic safety in transport, especially on road safety management to reduce crashes causes serious Injuries and death focused on Africa, East Africa, and Tanzania as the host country.
Showing posts with label tech. Show all posts
Showing posts with label tech. Show all posts
Wednesday, 18 October 2017
USAFIRI WAKO:MATUMIZI YA SCAN TOOL KWENYE MAGARI YA KISASA.
Napenda kutoa pongezi kwa ITV Kwa ajili ya kipind icha usafiri wako kwa kumtumia MhandisI Kihando mwalimu anayefundisha kwa uweledi mkubwa kuonyesha umuhimu wa matumizi ya scan tool. Nipende kuomba wadau wa usafiri kufuatilia vipndihivyo kwan ni muhimu kwako wewe mtumia magari.Fuatilia kupiatia hii shared vedio kwenyee hii blog.
Thursday, 6 July 2017
TAMBUA ALAMA ZA TAIRI ZA GARI
Hii ni moja ni aina ya tairi ambayo ina alama muhimu ambazo mtu anahitaji kununua tairi kuzitambua na kufahamu maana halisi ya alama hizi kwa ajili ya usalama wa gari kwan ajali nyingi chanzo chake ni mataili endelea kufuatlia hii blog itaendelea kuelimisha jamii mambo muhim yanayo husu gari kwa ujumla hususani tairi ili kupunguza ajali na upoteaji wa fedha wa kununua kifaa kisicho bora, |
Hii ni moja ni aina ya tairi ambayo ina alama muhimu ambazo mtu anahitaji kununua tairi kuzitmbua kwani bila hivyo inaweza kuasabibisha kunnua tairi lisilo faa kwa matumizi husika hivyo kuweza kuwa chanzo kikubwa cha ajali |
JINSI
PASSENGER ABIRIA
P-Metric P225/50R15
90H
|
|||||
P
|
225
|
50
|
R
|
15
|
90H
|
P-Metric
|
Nominal
Section Width
(millimeters)
|
Aspect Ratio (Ratio of Section
Height to Section Width)
|
Radial Construction
|
Rim Diameter
code
|
Service Description(Load Index
& Speed Symbol)
|
Vipimo
|
Upana
|
Kimo/upana
|
Nusu kipenyo
|
Kipenyo kizima
|
Uzito index &mwendokasi alama
|
Location:
Tanzania
Subscribe to:
Posts (Atom)
-
MFUMO WA U ENDESHAJI B REKI Mfumo wa breki ni mfumo u naopunguza kasi ya injini au kuisimamisha chombo cha usafiri, katika vyombo vya ...
-
Hii ni moja ni aina ya tairi ambayo ina alama muhimu ambazo mtu anahitaji kununua tairi kuzitambua na kufahamu maana halisi ya alama hizi...