Showing posts with label train. Show all posts
Showing posts with label train. Show all posts

Wednesday, 18 October 2017

USAFIRI WAKO:MATUMIZI YA SCAN TOOL KWENYE MAGARI YA KISASA.




Napenda kutoa pongezi kwa ITV Kwa ajili ya kipind icha usafiri wako kwa kumtumia MhandisI Kihando mwalimu anayefundisha kwa uweledi mkubwa kuonyesha umuhimu wa matumizi ya scan tool. Nipende kuomba wadau wa usafiri kufuatilia vipndihivyo kwan ni muhimu kwako wewe mtumia magari.Fuatilia kupiatia hii shared vedio kwenyee hii blog.

001 Automotive ENGINE REPAIR - CONFIGURATIONS and OPERATING SYSTEMS


For all technician might in maintenance  of engine assembly.KWA wanaosoma masomo ya magari na mifumo ya injini karibuni kupata mafunzo ya awali namna mfumo unavyo fanya kazi.

Saturday, 7 October 2017

ELIMU KUHUSU NAMNA BORA YA KUTUMIA BODA BODA (PIKIPIKI)

Tanzania ni moja wapo ya nchi Africa Mashariki ambayo vijana wengi hutumia pikipiki kwa ajili ya usafiri. SUMATRA, VETA, Usalama barabarani hutumia vyombo mbalimbali  kuelimisha jamii ya waendesha bodaboda.Kama mdau wa usafirishaji napenda kuzungumzia  vipengele sita ambavyo ni muhimu kwa mwendesha bodaboda ili kuepusha ajali zisizo za razima  kama ifuatavyo:
 Jambo la kwanza, Utambuzi wa sheria, kanuni na taratibu za barabarni kwa kuenda kupata mafunzo
katika vyuo vya udereva vilivyo sajiriwa na VETA,au NACTE bila kusahau chuo cha taifa cha
usafilishaji kwa mafunzo zaidi, kusoma alama za barabarani na sharia au kanuni zinazotumika
barabarani
Figure 1 Ni mfano wa picha bodaboda mafunzoni ambaye anafundishwa na mkufunzi maalam ambaye
anawezakuaptikatakana katika taasisi ya shule ya dereva kama VETA na NIT .