This is platform aims to have awareness of traffic safety in transport, especially on road safety management to reduce crashes causes serious Injuries and death focused on Africa, East Africa, and Tanzania as the host country.
Showing posts with label safe. Show all posts
Showing posts with label safe. Show all posts
Wednesday, 12 August 2020
Monday, 13 July 2020
Saturday, 6 June 2020
safer ubungo interchange
https://youtu.be/p-s4Iyx3Zmo
Tuesday, 24 March 2020
TAKWIMU ZA AJALI TANZANIA ,2019
Friday, 5 January 2018
MFUMO WA UENDESHAJI BREKI
MFUMO
WA UENDESHAJI BREKI
Mfumo wa breki ni mfumo unaopunguza
kasi ya injini au kuisimamisha chombo cha usafiri, katika vyombo vya usafilishaji( baiskeli, pikipiki, treni na motokaa au gari aina zote ) ni muhimu sana kuzingatia ukaguzi wa vifaa vinavyounda huu mfumo kabla hujaanza safari, kwani nimiongoni mwa visababishi vya ajali barabarani.Mfumo huu una sehemu kuu tatu muhimu kama ilivyo ainishwa hapo chini:
- Mwendeshaji ( vehicle operator)
- Nishati ya kusaidia kufika kupereka nguvu kama vile haidroli, upepo, inahitakijika kwenye breki za sahani na chungu ( hydraulic pressure or cable and pneumatic)
- Msuguano huu utokanana na vifaa ambayo hufungwa kwenye gurudumu kama vile breki za sahani na chungu disk & drum brake ( frictional)
Saturday, 7 October 2017
ELIMU KUHUSU NAMNA BORA YA KUTUMIA BODA BODA (PIKIPIKI)
Tanzania ni moja wapo ya nchi Africa Mashariki ambayo vijana wengi hutumia pikipiki kwa ajili ya usafiri. SUMATRA, VETA, Usalama barabarani hutumia vyombo mbalimbali kuelimisha jamii ya waendesha bodaboda.Kama mdau wa usafirishaji napenda kuzungumzia vipengele sita ambavyo ni muhimu kwa mwendesha bodaboda ili kuepusha ajali zisizo za razima kama ifuatavyo:
Jambo la kwanza, Utambuzi wa sheria, kanuni na taratibu za barabarni kwa kuenda kupata mafunzo
katika vyuo vya udereva vilivyo sajiriwa na VETA,au NACTE bila kusahau chuo cha taifa cha
usafilishaji kwa mafunzo zaidi, kusoma alama za barabarani na sharia au kanuni zinazotumika
barabarani
Jambo la kwanza, Utambuzi wa sheria, kanuni na taratibu za barabarni kwa kuenda kupata mafunzo
katika vyuo vya udereva vilivyo sajiriwa na VETA,au NACTE bila kusahau chuo cha taifa cha
usafilishaji kwa mafunzo zaidi, kusoma alama za barabarani na sharia au kanuni zinazotumika
barabarani
Figure 1 Ni mfano wa picha bodaboda mafunzoni ambaye anafundishwa na mkufunzi maalam ambaye anawezakuaptikatakana katika taasisi ya shule ya dereva kama VETA na NIT . |
Subscribe to:
Posts (Atom)
-
MFUMO WA U ENDESHAJI B REKI Mfumo wa breki ni mfumo u naopunguza kasi ya injini au kuisimamisha chombo cha usafiri, katika vyombo vya ...
-
Hii ni moja ni aina ya tairi ambayo ina alama muhimu ambazo mtu anahitaji kununua tairi kuzitambua na kufahamu maana halisi ya alama hizi...