Friday, 5 January 2018

MFUMO WA UENDESHAJI BREKI

MFUMO WA UENDESHAJI BREKI
Mfumo wa breki ni mfumo unaopunguza kasi ya injini au kuisimamisha chombo cha usafiri, katika vyombo vya usafilishaji( baiskeli, pikipiki, treni na motokaa au gari aina zote ) ni muhimu sana kuzingatia ukaguzi wa vifaa vinavyounda huu mfumo kabla hujaanza safari, kwani nimiongoni mwa visababishi vya ajali barabarani.Mfumo huu una sehemu kuu tatu muhimu kama ilivyo ainishwa hapo chini: 

  1. Mwendeshaji ( vehicle operator)
  2.  Nishati ya kusaidia kufika kupereka nguvu kama vile haidroli, upepo, inahitakijika kwenye breki za sahani na chungu ( hydraulic pressure or cable and pneumatic) 
  3. Msuguano huu utokanana na vifaa ambayo hufungwa kwenye gurudumu kama vile breki za sahani na chungu  disk & drum brake ( frictional)

 Mfumo wa brake unahitaji vifaa  muhimu vitatu ambavyo ni breki za chungu na sahani, pedali  ya

 dereva na nguvu ya breki.