This is platform aims to have awareness of traffic safety in transport, especially on road safety management to reduce crashes causes serious Injuries and death focused on Africa, East Africa, and Tanzania as the host country.
Sunday, 21 July 2019
Tuesday, 15 May 2018
Sunday, 28 January 2018
Top 10 Advanced Car Technologies by 2020 You Need to Know
TAZAMA TEKNOLOJIA YA MAGARI AMBAYO KUFIKIA 2020 ITATUMIKA ZAIDI Kwa ufupi itahusisha maeneo kumi huboresha ubora wa gari katika mwonekano,usalama wa mwendeshaji,kufika sehemu mbalimbali kwa kutumia ramani, kuweza pia kuiinagalia mahali popote ilipo pia afya kwa mwendeshaji kukumbusha kupumuzika, kuzuia kuanguka, kuimalisha mwonekano wa kioo na kuzsima kwa remoti angalia nawe pia kama inavyoonekana.
Friday, 12 January 2018
Thursday, 11 January 2018
Friday, 5 January 2018
MFUMO WA UENDESHAJI BREKI
MFUMO
WA UENDESHAJI BREKI
Mfumo wa breki ni mfumo unaopunguza
kasi ya injini au kuisimamisha chombo cha usafiri, katika vyombo vya usafilishaji( baiskeli, pikipiki, treni na motokaa au gari aina zote ) ni muhimu sana kuzingatia ukaguzi wa vifaa vinavyounda huu mfumo kabla hujaanza safari, kwani nimiongoni mwa visababishi vya ajali barabarani.Mfumo huu una sehemu kuu tatu muhimu kama ilivyo ainishwa hapo chini:
- Mwendeshaji ( vehicle operator)
- Nishati ya kusaidia kufika kupereka nguvu kama vile haidroli, upepo, inahitakijika kwenye breki za sahani na chungu ( hydraulic pressure or cable and pneumatic)
- Msuguano huu utokanana na vifaa ambayo hufungwa kwenye gurudumu kama vile breki za sahani na chungu disk & drum brake ( frictional)
Wednesday, 3 January 2018
Tuesday, 5 December 2017
Monday, 27 November 2017
Saturday, 25 November 2017
Subscribe to:
Posts (Atom)
-
MFUMO WA U ENDESHAJI B REKI Mfumo wa breki ni mfumo u naopunguza kasi ya injini au kuisimamisha chombo cha usafiri, katika vyombo vya ...
-
Hii ni moja ni aina ya tairi ambayo ina alama muhimu ambazo mtu anahitaji kununua tairi kuzitambua na kufahamu maana halisi ya alama hizi...