Saturday, 24 June 2017

LUGHA KUU ITUMIKAYO KWENYE HII BLOG

Blog hii itatumia lugha mbili yaani Kiswahili na kiingeleza(English). Lengo ni kwa ajili ya kuwa nufaisha watanzania wote amba wanapenda kufahamu mambo yanayo husu  magari  kwa ujumla.Pia lugha ya Kingeleza itasaidia sana kutuunganisha na wadau mbalimbali duniani ambao nao ni muhimu katika kada hii ya magari.


MALENGO  MAKUU YA BLOG

  • Kutoa elimu kwa jamii  namna sahihi ya usalama na afya katika mahali pakazi kama vile  barabarani, karakana na viwandani.
  • Utunzaji wa mazingira kwa kuzinagatia utumiaji bora wa vyombo moto kama vile magari,piki na meli kuonyesha madhara uchafuzi wa mazingira kwa jamii unatokana na vyombo vya usafili.
  • Mafunzo ya ufundi ya magari kwa njia ya utube, vitabu, machapisho mbalimbali kutka vyanz mbalimbali yanayhusu ufundi wa magari.
  • Ubunifu mbalimbali kama vile kuonye michoro mbalimbali inayohusu namna ya usanifu wa karakana katika saizi tofauti. 


No comments:

Post a Comment