Hupunguza upoteaji wa fedha,Kwa kupunguza
utumiaji nishati, maji, mfano kwenye karakana punguzo la utumiaji wa umeme kwa
kuzingatia udhibiti wa kuvuja maji hewa katika tanki na air compressor hivyo mazingira yatakuwa salama na utumiaji
mzuri wa fedha.
Itaboresha wateja katika karakana yako, Wateja wengi
wanahitaji mahali ambapo ni salaam na safi kwa ajili ya kufanyiwa ukarabati
wa magari, pikipiki hivyo basi uhifadhi mazingira uanafaida kubwa
kwa shirika ya ukarabati na utengenezaji magari
Inasidia wafanyakazi kujisikia kuridhika
na kufurahia kazi mahali hapo hivyo huvuatia wafanyakazi wenye ujuzi mkubwa
nakufanya upatikanaji wafanyakazi kwa
urahisi.
No comments:
Post a Comment