Saturday, 7 October 2017

ELIMU KUHUSU NAMNA BORA YA KUTUMIA BODA BODA (PIKIPIKI)

Tanzania ni moja wapo ya nchi Africa Mashariki ambayo vijana wengi hutumia pikipiki kwa ajili ya usafiri. SUMATRA, VETA, Usalama barabarani hutumia vyombo mbalimbali  kuelimisha jamii ya waendesha bodaboda.Kama mdau wa usafirishaji napenda kuzungumzia  vipengele sita ambavyo ni muhimu kwa mwendesha bodaboda ili kuepusha ajali zisizo za razima  kama ifuatavyo:
 Jambo la kwanza, Utambuzi wa sheria, kanuni na taratibu za barabarni kwa kuenda kupata mafunzo
katika vyuo vya udereva vilivyo sajiriwa na VETA,au NACTE bila kusahau chuo cha taifa cha
usafilishaji kwa mafunzo zaidi, kusoma alama za barabarani na sharia au kanuni zinazotumika
barabarani
Figure 1 Ni mfano wa picha bodaboda mafunzoni ambaye anafundishwa na mkufunzi maalam ambaye
anawezakuaptikatakana katika taasisi ya shule ya dereva kama VETA na NIT .

No comments:

Post a Comment