USALAMA BARABARANI
Ajali zinazotokea barabarani ni jambo linalohatarisha maisha ya watu na
vitu vyao. Ajali hizi zina husisha watu wa rika zote wadogo kwa wakubwa. Kulingana
taarifa ya shirika la Afya duniani (WHO) ya mwaka 2018 inaelezea kuwa 90% ya
ajali zinatokea nchi zenye uchumi wa chini na kati ikiwemo Tanzania. Wathirika
wakubwa ni umri miaka 5-29.
WATHIRIKA WA AJALI ZA BARABARANI NCHINI
TANZANIA
ZIFAHAMU SABABU ZINAZO SABABISHA AJALI ZA
BARABARANI
Imeandaliwa : marwadchacha@gmail.com
No comments:
Post a Comment