Jambo la kwanza, Utambuzi wa sheria, kanuni na taratibu za barabarni kwa kuenda kupata mafunzo
katika vyuo vya udereva vilivyo sajiriwa na VETA,au NACTE bila kusahau chuo cha taifa cha
usafilishaji kwa mafunzo zaidi, kusoma alama za barabarani na sharia au kanuni zinazotumika
barabarani
Figure 1 Ni mfano wa picha bodaboda mafunzoni ambaye anafundishwa na mkufunzi maalam ambaye anawezakuaptikatakana katika taasisi ya shule ya dereva kama VETA na NIT . |