Sunday, 2 August 2020

USALAMA BARABARANI

USALAMA BARABARANI

 

Ajali zinazotokea barabarani ni jambo linalohatarisha maisha ya watu na vitu vyao. Ajali hizi zina husisha watu wa rika zote wadogo kwa wakubwa. Kulingana taarifa ya shirika la Afya duniani (WHO) ya mwaka 2018 inaelezea kuwa 90% ya ajali zinatokea nchi zenye uchumi wa chini na kati ikiwemo Tanzania. Wathirika wakubwa ni umri miaka 5-29.

WATHIRIKA WA AJALI ZA BARABARANI NCHINI TANZANIA

ZIFAHAMU SABABU ZINAZO SABABISHA AJALI ZA BARABARANI

Imeandaliwa : marwadchacha@gmail.com

 

Monday, 13 July 2020

Saturday, 6 June 2020

safer ubungo interchange

https://youtu.be/p-s4Iyx3Zmo
Ubungo interchange is a road junction that typically uses grade separation  to permit traffic on at least one highway to pass through the junction without directly crossing any other traffic stream.This has to reduce the traffic congestions in Dar es salam City  since ubungo intersction was having the heavy traffic congestion dues to mixed function of road of interregion buses and comercial vehicles, intercity bus like BRT and Daladala. The complition of the ubungo interchange will increase safer mobility within and outside of Dar es salaam city also social economic will increase economic activities.   

Tuesday, 24 March 2020

TAKWIMU ZA AJALI TANZANIA ,2019

Hii Kutokana na utafiti uliofanywa na kikosi cha Usalama Barabarani na kuchapishwa na  Mwananchi Data